Wednesday, October 31, 2012

SAJUK: MUNGU NI MKUBWA.

Wastara, Dino Na Sajuk Wakiwa Ndani Ya Leo Tena Cloud fm #Jumatano 31/10/2012 Ikiwa Ni Katika Kuwashukuru Watu Wote Waliomsaidia Wakati Akiwa Mgonjwa.

Toka huko...limbululaaaaaaaaaaaaaaaa...


SALAM KWENU MNAOJITAMBA HAYA MA V8/VX NI YENU, KARINI MPYA HII.

Hivi ndivyo magari ya Serikali yanavyotumika, Magufuli ang'aka na kutaka magari yote ya namba za serikali, mashirika, yakiwemo na yale ya miradi kama DFP nakadhalia, yaondolewe namba za kiraia maramoja.
Nimejiuliza maswali mengi sana bila ya majibu, hivi hao wasajili wa magari wamesajili kwa majina yaoooo !!! ama, chunguzeni kama ndio fukuza kazi maana ni wahujumu uchumi, baadae miaka mitano (5) ikiisha kigogo anamiliki gari lote, eeheee maana si lina eitha jina lake bwana ama.

Kuanzia TRA wawajibishwe maana nyaraka za magari yote nadhani huwa mawizarani ama kwa wahusika wa magari ya mawizara husika na kadhalika, jaman tunakwenda wapi...
TAHADHARI... Maandamano ya waislamu yazuiwa........!!


JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya baadhi ya Waislamu yaliyotangazwa kufanyika Novemba mosi na mbili mwaka huu ya kushinikiza kutolewa rumande kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jana kuwa ma

andamano hayo ni batili kutokana na kutopewa baraka na jeshi hilo.

Alisema polisi imejipanga kuwashughulikia wote watakaofanya maandamano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Aidha, alisema Jeshi la Polisi linamsaka mtu anayechapisha vipeperushi vya kuchochea maandamano ambayo ni hatari kwa wananchi.

Aliwataka wananchi kuendelea na shughuli za kiuchumi kutokana na kuimarishwa kwa usalama katika siku hizo ambazo watu hao wanataka kuandamana kinyume cha sheria.

“Hatutarudi nyuma kwa wale ambao watavunja sheria na kuvuruga amani ya nchi katika siku hizo mbili,” alisema Kova.

Kova alisema haki itapatikana mahakamani, hivyo hakuna haja ya kufanya maandamano katika mahakama hiyo ambayo inasikiliza kesi ya kiongozi huyo.

Saturday, October 27, 2012

NI AIBU:
Hotuba ya Naibu Waziri Mulugo, eti nae msomi.. Licha ya kulitia aibu Taifa la Tanzania, yaonekana Rais Kikwete aliteuwa baadhi ya Mawaziri / Manaibu wao kwa kuangalia sura tu, Tangu lini TANZANIA ikawa ni muunganiko wa VISIWA Etii VYA ZIMBABWA, PEMBA NA ILITOKUWA NCHI YA TANGANYIKA... dah JK una kazi. Halafu eti ana Degree= hii itakuwa sii ya Academia ni ya KAYUMBA.

Mnakaribishwa nyote, vigezo na masharti kuzingatiwa.

Haya , wazee wa kutunga sheria na kutetea wananchi hao hapo.

Friday, October 26, 2012

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU ATOA LISTI YA WANAUME 322 ALIOWAAMBUKIZA HIV/AIDS..................!


Huku vyuoni sijui wanafundisha nini siku hizi maskini,naona ni ngono tu ndo somo ambalo wanafunzi wanafaulu sana...Matokeo yake ni kuambukizwa magonjwa makubwa...INASIKITISHA........................

Mwanafunzi huyu wa kike ametoa listi ya wanaume "322" aliowaambukiza ngoma, WAKIWEMO NA WAUME ZA WATU....Nia yake ilikuwa aambukize wanaume 2500 ila sio kazi ndogo..ameingiwa roho ya ubinadamu ameamua kustop sasa...Lakini Stop Watch yake imezima baada ya kuwa ametimiza listi ya Wanaume 322...Haya ni mafanikio ya asilimia 12.88 ya Target yake.

Kwanini ameamua hivi....Mara yake ya kwanza kabisa yeye kufanya ngono...Hapohapo akaambukizwa UKIMWI....Wanafunzi mkiambiwa muende kusoma msome,Mapenzi yapo tu,hayana haraka,mnakimbilia mambo yasiyo na tija kwenu...Someni..Yatawakuta kama huyu dada.

Chuo anachosoma ni Nairobi University...Picha yake hiyo hapo juu,mtoto mkaliiiiii,ukimtazama kwa macho lazima utupie mbichi maana kanona....Ila ndo ameshaungua sasa.
Mwanafunzi anayeuza bikira yake kwenye mnada apata wanunuzi kibao.
Mwanafunzi anayeinadi bikira yake kwenye mnada kwa ajili ya mwanaume yeyote atakayetoa dau kubwa kuliko wote amepagawa na madau makubwa anayopewa, hivi sasa dau limefikia dola milioni 3.7

Natalie Dylan, 22, wa California nchini Marekani amesema hadi sasa wanaume 10,000 wameishajitokeza kuwania kuvunja bikira yake kwa kufanya naye mapenzi kwa usiku                mmoja tu.

Dylan ana mpango wa kutumia hela atakazopata baada ya kuuza bikira yake kulipia masomo yake ya shahada ya juu ya familia na ndoa.

Mwezi septemba wakati alipotangaza bikira yake kwenye mnada alipata dau la dola 243,000 lakini baada ya hapo dau lake limekuwa likiongezeka kwa kasi sana.

Hivi sasa mdau mmoja anayewania bikira ya binti huyo ametangaza dau la dola milioni 3.7.

Mwanafunzi huyo ambaye ana shahada ya masomo ya kinamama alisisitiza hakuwa akimaanisha kuwa anajiuza.

Dylan alisema ameamua kuvunja bikira yake na mwanaume atakayeshinda dau kubwa baada ya kuona dada yake Avia,23, ameweza kujilipia mwenyewe masomo yake baada ya kufanya ukahaba kwa muda wa wiki tatu tu.

Dylan alisema yuko tayari kwenda hospitali kupimwa bikira yake kama mdau yoyote atakuwa na mashaka na bikira yake.

"Nimepata wadau wengi wanaotaka uchumba lakini nimeweka wazi kwamba sitafuti mchumba na hii ni kwaajili ya usiku mmoja tu " alisema Dylan.

"Najua watu wengi watalaani kitendo changu kwakuwa si cha kawaida lakini mimi sitajali watakachosema " aliongeza Dylan.

Thursday, October 25, 2012

ZANZIBAR.
SHERIA NI MSUMENO NDUGU ZANGU..

Kesi ya Kiongozi Uamsho: Mawakili watishia kujitoa, Sheikh Farid anyolewa ndevu...

Kesi imetajwa leo katika mahakama ya Mwanakwerekwe na kisha ikahamishiwa katika mahakama ya Vuga.

Mawakili wametishia kujitoa katika kesi hyo kwa madai ya usumbufu wanaoupata wateja wao. Mawakili hao ni Salim Tawfik na Abdallah Juma wanaowawakilisha Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake sita. Leo hii wamesusa kabisa


kuingia mahakamani na wamesema wanakusudia kujitoa kutokana na uusmbufu wanaofanyiwa wateja wao wa kuhawangaisha.

Na sasa hivi mawakili hao wameshaondoka na watuhumiwa ndio wanafikishwa mahakamani wakiwa wamenyolewa ndevu zote wakiwa mahabusu. Kesi leo inatarajiwa kutolewa maamuzi ya masharti ya dhamana yaliyokuwa yanapingwa na mawakili wa utetezi ambao wameshaondoka mahakamani hapa.

Hatujui nini kitaendelea tena maana watu wamezuiliwa kuingia katika eneo la mahakamani. Nikipata updates nitawajulisha

Updates:

Mawakili wakisoma tamko la kutaka kujitoa kabla hawajaondoka mahakamani hapo.

Sheikh Farid akiwa kanyolewa ndevu akiwasili mahakama ya Vuga leo.

MORE UPDATES:

Sheikh Farid na wenzake wasomewa mashtaka mapya:
1) Kusababisha uvunjifu wa amani zanzibar
2) Kusababisha uharibifu wa mali kisiwani zanzibar kutokana na vurugu
3) Kushawishi na kuchochea vurugu zilizosababisha kuhatarisha maisha ya watu na serikali kuingia hasara.

Aidha mtuhumiwa mmoja anatuhumiwa kumtukana Kamishna wa Polisi Zanzibar Musa Ally Musa.

washtakiwa wote wamenyimwa dhamana kwani ni Jaji pekee ndie anayeweza kutoa dhamana kwa makosa yao lakini wana haki ya kukata rufaa kudai dhamana katika mahakama ya juu.
LYBIA
Mwaka mmoja baada ya kifo cha Gaddafi, familia yake iko wapi?

Mwaka mmoja baada ya kukamatwa na kuuwa kwa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi tarehe 20 mwezi Oktoba mwaka 2011, familia yake iko wapi?

Watoto watatu wa Gaddafi waliuawa wakati wa harakati za mapinduzi akiwamo aliyekuwa mshauri wake wa usalama wa kitaifa Mutassim Gaddafi, aliyefariki mikononi mwa waasi siku moja na babake.

Taarifa zinazohusiana

Libya

Jamaa za Gaddafi wanaosalia wamekumbwa na hali tata tangu kifo cha Rais huyo mwezi Oktoba, huku mjane wake akitafuta hifadhi katika nchi jirani ya Algeria, mwanawe na aliyeonekana kama mrithi wa wake Saif al-Islam yuko gerezani nchini Libya akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake kuhusu uhalifu wa kivita.

Safiya Gaddafi (Mjane wa gaddafi)

Safiya Farkash, mama wa watoto wanane wa Gaddafi amekuwa akiishi nchini Ageria alikopewa hifadhi kwa sababu za kibinadamu.

Pamoja na wanawe Ayesha na mwanawe wa kambo kutoka kwa mke wa kwanza wa Gaddafi, waliingia nchini Algeria wakati waasi walipoudhibiti mji mkuu Tripoli.

Amepewa hifadhi nchini humo na kuwekewa vikwazo na serikali vya kutotoa matamshi yoyote ya kisiasa wala kuingilia mambo ya Libya

Muhammad Gaddafi (Mwanawe)

Ikiwa mambo yangekwenda vinginevyo Muhammad angehudhuria michezo ya Olimpiki 2012 kama mkuu wa kamati ya michezo hiyo nchini Libya.

Badala yake, Muhammad mwanawe wa kwanza Gaddafi, amekuwa nchini Algeria kwa mwaka mmoja sasa tangu kukimbilia huko wakati waasi walipovamia mji wa Tripoli.

Ni mtoto wa mke wa kwanza wa Gaddafi, Fathia, pia alikuwa mwenyekiti wa kampuni ya taifa mawasliano ya simu za mkononi nchni Libya.

Hatakikani na mahakama ya ICC na hakuhusika pakubwa na kujaribu kuzima harakati za mapinduzi dhidi ya babake mwaka jana.

Saif al-Islam Gaddafi (Mwanawe Gaddafi)

Alionekana na wengi kama ,mrithi wa babake, alikamatwa mwezi mmoja baada ya kifo cha babake, na amekuwa akizuiliwa mjini Zintan tangu hapo.

Alihitimu kutoka chuo cha mafunzo ya uchumi mjini London, na amekuwa sababu ya mvutano kati ya mahakama ya kimataifa ya ICC ambako anakabiliwa na tuhumza za uhalifu wa kivita na maafisa wa sheria nchini Libya ambao wanasisitiza kuwa lazima kesi yake iendeshwe nchini humo.

Idara ya sheria nchini Libaya kwa sasa inaonekana kushinda katika mvutano huo, lakini hakuna tarehe rasmi ya kusikilizwa kwa kesi yake, inaarifiwa kuwa jela ya kifahari ikiwa na uwanja wa mpira wa vikapuni na mpishi wake binafsi vimeandaliwa kwa Saif mjini Tripoli

Saadi Gaddafi (Mwanawe Gaddafi)

Saadi Gaddafi, aliyekuwa mkuu wa shrikisho la soka nchini Libya pamoja na kuongoza vikosi maalum, amepewa hifadhi nchini Niger ambako anaishi katika makao makuu baada ya kutoroka kupitia jangwa la Sahara.

Saadi ana sifa tata ambapo alikuwa akicheza soka katika ligi ya Italia ingawa safari yake ilikatizwa baada ya kuhusishwa na madawa haramu pamoja na maisha yake ya anasa.

Niger imekataa ombi la Libya kumpeleka nchini humo huku waziri wa sheria akisema kuwa huenda akahukumiwa kunyongwa.

Mnamo mwezi Septemba, shirika la Polisi wa kimataifa Interpol lilitoa onyo ambalo litawaruhusu nchi wanachama kamkamata Saadi.

Mwezi Disemba mwaka jana polisi nchini Mexico walisema wana taarifa za kijasusi kuwa magenge ya wafanyabiashara haramu ambao wanajaribu kumhamisha Saadi nchini Mexico kwa kutumia stakabadhi bandia.

Hannibal Gaddafi (Mwanawe Gaddafi)

Hannibal ni mtoto wa tano wa Gaddafi na Safiya Farkash. Inaamini alikuwa kwenye msafara wa magari ya Gaddafi uliokuwa unaelekea nchini Algeria mwaka Jana .

Alikuwa anaongoza majeshi kulinda eneo la Gharyan, Kusini mwa Tripoli, kabla ya waasi kudhibiti Tripoli.

Alisifika kwa tabia zake za anasa na aliwahi kukamtwa akiwa amelewa wakati akiendesha gari aina ya Porsche mjini Paris.

Alizua mgogoro wa kidiplomasia na Uswizi baada ya kuwashambulia wafanyakazi wawili wa hoteli nchini humo na kusababisha babake kuwafunga jela wafanyakazi kutoka nchini humo, na hata kuiwekea nchi hiyo vikwazo.

Aisha Gaddafi (Mwanawe Gaddafi wa kike)

Mwanawe pekee wa kike alipewa hifadhi nchini Algeria pamoja na mamake na ndugu yake.

Siku tatu baada ya kuwasili Algeria, alijifungua mtoto msichana na kumuita Safiya, jina la mamake.

Licha ya kuwekewa ulinzi mkali na serikali ya Algeria, aliripotiwa hivi karibuni kuwataka watu nchini Libya kupindua serikali ya sasa. Kwa usaidizi wa wakili wake Muisraeli, aliitaaka mahakama ya ICC kuchunguza kifo cha babake

Aisha pia aliripotiwa kuunga mkono Algeria katika mechi moja kati yake na Libya akisema kuwa serikali mpya ya Libya haimwakilishi kivyovyote.

Hanaa Gaddafi (Mwanawe wa kuasiliwa)

Kanali Gaddafi alikuwa kwa muda mrefu akidai kuwa Hanaa aliuawa katika shambulizi la Marekani mwaka 1986 wakati akiwa na mwaka mmoja na nusu. Lakini tangu mapinduzi kufanyika, kumekuwa na taarifa kuwa Hanaa yuko hai ingawa hajulikani aliko.

Moussa Ibrahim (aliyekuwa msemaji wa Serikali)

Tarehe 20 mwezi Oktoba, mwaka mmoja baada ya kifo cha Gaddafi, taarifa kutoka kwa ofisi ya waziri mkuu zilisema kuwa Ibrahim alikamatwa na waasi mjini Tarhouna, maili arobaini kutoka mji mkuu.Maafisa wengine hata hivyo walishuku habari hizo.

Kumekuwa na taarifa nyingi kuhusu kukamatwa kwake lakini baadaye ikasemekana kuwa uongo.

Alikuwa mwsemaji wa serikali na kujulikana na vyombo vya habari vya kimataifa, alionekana mwisho mjini Tripoli kabla ya waasi kuudhibiti mji huo.

Kila siku alitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuwahakikishia kuwa serikali itaendelea kuwa imara na kwamba waasi hawatafanikiwa kuiangusha.Alitoka kabila moja na Gaddafi na alijigamba kuishi nchini Uingereza kwa miaka 15 kabla ya kurejea nyumbani.

Wednesday, October 24, 2012

Vituko..
Kama bado unapendelea kuishi, usijaribu..


Ndugu zangu mmezoea kuita "Mshikaki" je huu pia ni mshikaki? au "Mchemshoo"!! Tafakari........


Tuesday, October 23, 2012

Mtazamo tu.
Mimi nahisi hapo ni "ARI MPYA" , "NGUVU MPYA" NA "KASI MPYA ZAIDI YA KULALA" 2015.

TISHIO...
Bado dunia imezingirwa na makahaba ya kiume, mapimbi, mazuzu, mazoba, ma kameroon, manunda....

Kazi na dawa..wanafunzi mate yanawatoka.


Monday, October 22, 2012

" JWTZ"

Kuanzia sasa tutaingilia maandamano yoyote ya kuhatarisha amani. Hatuna mzaha na usalama wa taifa.


Saturday, October 20, 2012

BREAKING NEWS:
KIONGOZI WA JUMUIYA YA UAMSHO, USTAADHI FARID APATIKA.
Aapa kuendelea na mapambano, asema Polisi ndio waliomteka na kumfunga kitambaa cheusi usoni na pingu, na asisitiza wengi walikuwa ni Polisi wa BARA, wakampeleka kwenye nyumba ya giza asiyoijua na kukaa huko kwa siku nne bila hata ya kula.

JWTZ 
Waingilia kati katika kuhakikisha amani inakuwepo Kariakoo jijini Dar, Ila wazee JWTZ hawakupata kazi ya kufanya, baada ya kugundua wale waandamanaji ni "VIDAGAA" tu, waliwaachia wazee la kulegeza FFU-"Fanya Fujo Uone",  huku wao wakiendelea na Patrol za hapa na pale, kama sinema ilikuwa.

BREAKING NEWS:
Kumekuwa na vurugu kubwa katikati ya jiji la Dar es salaam, baada ya Polisi kujaribu kuzuia maandamano yaliyotaka kufanywa na watu waliosemekana ni waumini wa Dini ya Kiislamu.

NATAMANI KUJIUNGA NA JESHI LA "POLIS AU JWTZ".
Hongereni wazee, wahuni wachache wasituharibie Amani yetu tulio rithi kwa Mababu na Mababa zetu, wakileta ukorofi/fujo watulizwe, nawasihi ndugu zangu fuateni misingi na katiba ya nchi, mahakama zipo, wazee wapo.. nini shida.

Thursday, October 18, 2012

MAANA YA JINA LANGU "REMMY"

ZANZIBAR - KIKUNDI CHA MUAMSHO BALAAA..!!

Hivi ndivyo makao makuu ya Zanzibar Darajani huwa panachangamka siku zote ila kwa sasa hivv ndivo palivo. Kweli hali ni mbaya.

Safari ya mwisho ya aliekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza yafikia kilele. Kapumzike kwa amani kamanda Liberatus L. Barlow.

KILIMANJARO
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ndug. Liberatus Liymo Barlow, azikwa huko Mkoani Kilimanjaro alikozalia.

Nadhani ni mtazamo tu, sisemi kitu.

Wednesday, October 17, 2012

Zanzibar.
Mabomu yarindima, watu wafanya fujo kutaka kujitenda na tanzania bara.


More assertive Obama trades barbs with Romney, targets wealth issues


Obama and Romney, talking over each other. (John Moore/Getty Images)

A much more aggressive President Barack Obama showed up to the second presidential debate Tuesday, which at times devolved into angry crosstalk with Republican rival Mitt Romney.
President Obama was under pressure to perform dramatically better at this debate—held at Hofstra University in Long Island, N.Y.—than the one held two weeks ago. Gov. Romney's energetic performance at that first debate quickly boosted him in the polls, with some recent measures showing he and the president in a virtual tie among likely voters.
Romney kept up his Denver demeanor, attacking Obama on his jobs record, failure to pass immigration reform, policies in the Middle East, and other issues. But this time, instead of simply repeating portions of his stump speech, Obama was ready with specific retorts and counter-attacks. The president frequently accused Romney of twisting facts, occasionally interrupting him as he spoke.
At one point, the debate almost became a shouting match over whether President Obama had cut back oil extraction from public lands. Obama repeatedly said Romney was lying about his claim that oil production was down, pointedly saying, "Not true, Governor Romney." (Politifact ranked a similar claim by a conservative super PAC "half true.") Feeling the heat, moderator Candy Crowley took the candidates to another topic.

Tuesday, October 16, 2012

WASOMAJI WANGU:
Hivi mwakikumbuka kitabu hiki cha Hadithi, long time sana mliopitia enzi hizoooooo.

Monday, October 15, 2012

SOMALIA:
Ajabu,  Salon hadi na A.K.A 47, KAZI KWELI KWELI. HAPO MIMI NAPITA TU NJIA., MAANA VIONGOZI WETU TUSIPOKUWA MAKINI TANZANIA TUTAFIKA HUKO, ASANTE NAPITA NJIA TU MJOMBA..



Sunday, October 14, 2012

Kwa kweli nakuwa nawaza mbaaaali sana pindi nionapo hii picha.
Mama JK. Nyerere, JK. Nyerere na Mkewe JK. Nyerere.

HILI NI ZIWA KUBWA SANA... KAMPALA BHANA.

TANZANIA:
14 OCTOBER 2012,  LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 13 YA KIFO CHA MWASISI WA TAIFA LA TANZANI, MWALIM JULIUS KAMBARAGE NYERERE (The great) DAIMA TUTAKUKUMBUKA BABA.

MWANZA:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP) Barlow ameuawa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Barlow ameuawa usiku wa kuamkia leo katika tukio linalohusishwa na ujambazi.
Taarifa kutoka Mwanza ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili.

Friday, October 12, 2012

Polisi katika harakati za kuthibiti fujo.


Baadhi ya waandamanaji zaidi ya 50 waliokamatwa wakipandishwa kwenye gari la polisi.

Mojawapo ya makanisa yanayosemekana kuharibiwa likiungua motom sijajua makanisa yanahusika vipi na mzozo uliojitokeza wa watoto.

Hamis Salum, baba wa mtoto ambaye Quran yake imekojolewa na mtoto mwenzie, akiongea na waandishi wa habari. 

JIJINI DAR ES SALAAM. KWA HALI HII SIJUI TUNAKWENDA WAPI WATANZANIA.

Waumini hao wanaokadiriwa kufikia idadi ya watu 3000 baada ya kutawanywa na Polisi waliingia mitaani na kuchoma moto kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), Mbagala Zakhem, wakaharibu Kanisa la Anglican, wakavunja vioo vya kanisa la Wasabato, na kuchoma moto Tanzania Assembly of God (TAG), la Mbagala Kizuiani na kuchukua vifaa vya muziki vya kanisa hilo na kuvichoma moto hadharani.
Awali waumini hao walikusanyika katika kituo hicho cha polisi cha Maturubai, Mbagala Kizuiani wakitaka mtoto huyo ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa polisi aachiwe na Polisi walipokataa matakwa yao ndipo vurugu hizo zilipoanza.
Chanzo cha tukio hili ni mabishano baina ya watoto wawili, Emmanuel Josephat, na mtoto mwingine wa Kiislam.
Watoto hao walikuwa wakibishana kuhusu imani na dini ambapo mtoto wa Kiislam alimwambia Emmanuel kuwa, “Quran ni kitabu kitakatifu, endapo utafanya chochote kibaya juu yake basi utadhurika, waweza kuwa kichaa”.
Hapo ndipo Emmanuel alipoamua kuikojolea Quran ili kuona kama atakuwa kichaa.
Vurugu hizo ambazo zimesababisha gari za polisi namba T142 AVV,PT 0966 na T 325 BQP,basi la uda na gari la waandishi wa habari kutoka Clouds zikiharibiwa kwa mawe na waandamanaji hao.
Kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) kilionekana kuzidiwa nguvu na watu hao ambao walikuwa wakiwatawanya kutoka eneo moja wanakimbilia eneo lingine na kuleta madhara mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufunga barabara.
Hatahivyo baada ya viongozi wa dini hiyo kufika wakiwa wameambatana na Sheikh wa Wilaya ya Temeke, Sheikh wa Taasisi na Jumuiya za Waislamu kukaa kikao na kamanda wa Polisi Wilaya ya Temeke, David Misime, walifikia muafaka wa kuwaita waislamu hao na kuwatuliza lakini hali iliendelea kuwa si shwari kwani baada ya viongozi hao kuona waandamanaji hao wakikamatwa na kupigwa walikuja juu na kutishia kuondoka.
“Ndio nini sasa sisi tupo hapa kwa kuleta suluhu lakini ili waislamu watulie lakini mnawapiga mbele yetu ndio nini sasa!?” alihoji mmoja wa viongozi hao.

Thursday, October 11, 2012


YA DUNIA:KITU GANI HIKI JAMANI DUNIA INAENDA WAPI? HUYU NI MTOTO AMEOKOLEWA ALIKUWA AMETUPWA CHOONI JAMANI WEWE UNGEKUWA UMETUPWA UNGEKUWEPO SIJAPENDA.

HAYA SASA, WALE "MANUNDA" WALE "MAPIMBI" WALE "MAZOBA" WALE "MAZABE" ... ETI KWENYE GAZETI LA MAKOROKOCHOOOO....
UNAMJUA YULE MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA A.K.A CHEGGE.. HAHAHAAA BAADA YA KUMTAFUTA "MWANAYUMBA" ATIMAYE KAMPATA.. ETI KAZAA NA MKE WA MTU HUKOOO "KIGOMA" DAAAH JAMAA KAM MIND ILE KISHENZI.. KESHO CHEGGE ANALETEWA MWANAMKE MWENYEWE NA MTOTO, DAAAHH TOTO ETI NI COPY RIGHT NA CHEGE.. MACHO YALE SASA.......DUUUUH MWANAYUMBAAA...


Monday, October 8, 2012

KUMBUKA: IDD AMIN DADAA, ALIPOPEWA BENDERA YA CCM AKADANGANYWA NI YA TANZANIA..!! NAMNUKUU "AFISA COMANDA WANGU AMEKWISHA KULETE MUBENDERA YA TANSANIA.. IMEANDIKWA CHAMA YA MUPINDUZI". CCM. KUMBE SIO YA NCHI BHAAAA..!

Friday, October 5, 2012

JIJINI:MWANAMUZIKI WA KIMATAIFA "EICK ROSS" ATUA DAR USIKU HUU.

JIJINI DAR: Wapenda mishkaki hali halisi hiyo, Jamani sio utani, hii picha ilipigwa jamaa bila kujua, walikuwa ufukweni mwa bahari pande za Coco Beach - Jijini Dar, jaman iliniuma saaaana. Poleni kwa wale wote wala mishikaki ya bei rahisi kwenye vituoni vya mabasi na ndizi za kuchoma jijini Dar.


Mimi jamani naona huruma sana, naomba raia msiwe mnajichukulia sheria mkononi, mahakama/polisi wapo. Asanteni.

Kazi ipo.

Heeee

zaidi ya tax.

Hapo chacha.

Duuuh, hahaaa dogo noma.
 Hii ndoa, watoto watafananaje sasa, hadi baadae watajilaumu kuzaliwa na wazazi kaa hawa..


Duuh, kazi ipo.

Kula baba mkubwa.

 Afande UG yuko job hapo.