JWTZ
Waingilia kati katika kuhakikisha amani inakuwepo Kariakoo jijini Dar, Ila wazee JWTZ hawakupata kazi ya kufanya, baada ya kugundua wale waandamanaji ni "VIDAGAA" tu, waliwaachia wazee la kulegeza FFU-"Fanya Fujo Uone", huku wao wakiendelea na Patrol za hapa na pale, kama sinema ilikuwa.
No comments:
Post a Comment