SALAM KWENU MNAOJITAMBA HAYA MA V8/VX NI YENU, KARINI MPYA HII.
Hivi ndivyo magari ya Serikali yanavyotumika, Magufuli ang'aka na kutaka magari yote ya namba za serikali, mashirika, yakiwemo na yale ya miradi kama DFP nakadhalia, yaondolewe namba za kiraia maramoja.
Nimejiuliza maswali mengi sana bila ya majibu, hivi hao wasajili wa magari wamesajili kwa majina yaoooo !!! ama, chunguzeni kama ndio fukuza kazi maana ni wahujumu uchumi, baadae miaka mitano (5) ikiisha kigogo anamiliki gari lote, eeheee maana si lina eitha jina lake bwana ama.
Kuanzia TRA wawajibishwe maana nyaraka za magari yote nadhani huwa mawizarani ama kwa wahusika wa magari ya mawizara husika na kadhalika, jaman tunakwenda wapi...
No comments:
Post a Comment