Wednesday, April 17, 2013

BREAKING NEWS: Bi Kidude afariki dunia.



Bi Kidude akiwa anaumwa enzi za uhai wake.

Mwimbaji maarufu wa muziki wa Taarabu Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki dunia leo "TAREHE 17 MAJIRA YA SAA ZA MCHANA AKIWA NA ZAIDI YA MIAKA 100" baada ya kuugua kwa muda mrefu, Taarifa hii imepatikana hivi karibuni kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari, ambavyo baadhi yake vimedai kuthibitisha kifo cha gwiji huyo wa muziki, ambaye ni maarufu ndani na nje ya Tanzania.

Na Mwanyezi mungu aiweke Roho ya marehemu Bi. Kidude pahala pema peponi. Amen..!

No comments:

Post a Comment