NDEGE YA TANAPA YAANGUKA PORINI , RUBANI ATOKA MZIMA
Rubani wa ndege ndogo aina ya DASH 5H mali ya TANZANIA NATIONAL PARK (TANAPA) , Athuman Bujwanga (47) mkazi wa mahale kigoma, anusurika kifo baada ya ndege hiyo aliyokuwa akiiendesha kupata hitilafu ikiwa angani na kuanguka kando ya mto Nsemulwa nje ya mji wa Mpanda Mkoani Katavi.
No comments:
Post a Comment