Friday, November 9, 2012


BREAKING NEWS: WAKAMATWA WAKIWA WAMENASIANA WAKIFANYA MAPENZI HUKO TEMEKE DAR 


Watu wawili wamekutwa wamegandiana kutokana na kuvunja amri ya sita (kufanya mapenzi) kwenye gesti moja huko temeke jijini dar es salaam masahibu hayo yamewakuta wawili hao baada ya baada ya njema mmojakuchukua mke wa mtu ambaye inasemekana amefungwa kitamaduni kana kwamba yeyote atakayejaribu kumgusa kinyume na taratibu basi a
tanasa na hivyo ndivyo ilivyokuwa iliyoiba mke wa mtu na kwenda naye kula raha nyumba ya wageni hapo temeke


Hadi kufikia sasa watu hao wapo hospitalini ya temeke ambapo jitihada za kuwatenganisha kwa wataalam zimeshindikana,Na mme wa mwanamke ameibuka na kudai alipwe milioni 5 za tz(Filex Mmari newz) ili aweze kuwachanisha hao wawili.

No comments:

Post a Comment