AMINI - USIAMINI, MWENYEZI MUNGU ANA NAFASI KUBWA SANA MAISHANI MWAKO, HAIJALISHI AINA YA KAZI ULIO NAYO.
Slaa pemben mungu kwanza. 'Baya lisilo nidhuru na Jema lisilo na faida, Nashukuru Mungu, kote naskika napotoa haya mawaidha. Nikifa, nauhakika nitaacha pengo.. Tunachukiana sababu tunaogopana,Tunaogopana sababu hatujajuana, Hatajuana sababu tunatengana,,, Walimwengu wabaya hawana maana.. Amen..
No comments:
Post a Comment