BAADA YA KUUNGUZWA NA MOTO NA KULISHWA KINYESI CHAKE,,TAYARI MTOTO HUYU AMESHAKATWA MKONO WAKE...........HALI ya Mtoto Aneth Johanes (4) aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kufuatia kuchomwa moto mkono wake wa kushoto na anayedaiwa kuwa ni Shangazi yake inaendelea vizuri licha ya kufanyiwa upasuaji uliolazimu kukatwa kwa mkono huo.
Kwa mujibu wa mama mdogo wa mgonjwa anayemhudumia h
Kwa mujibu wa mama mdogo wa mgonjwa anayemhudumia h
ospitalini hapo Silvia Salvatory alithibitisha kuendelea vizuri kwa motto huyo ambapo alisema ilimlazimu kufanyiwa upasuaji kutokana na mkono huo kukosa mawasiliano na kuonekana kuvunjika.
Alisema taarifa za awali zinaonesha shangazi yake huyo Bahati Rukangara alianza kumtesa mtoto huyo muda kwa muda mrefu.
TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUPINGA UNYANYASAJI WA WATOTO.
Alisema taarifa za awali zinaonesha shangazi yake huyo Bahati Rukangara alianza kumtesa mtoto huyo muda kwa muda mrefu.
TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUPINGA UNYANYASAJI WA WATOTO.