Friday, August 3, 2012


HUYU NI MWALIMU WA HISABATI , NATHANI NI SABABU YA MGOMU.


Sasa kama Ticha anafundisha Hesabu kwa dizaini hii, basi division "O" zitakuwepo nyingi sana.

Serikali jitahidini kumaliza mzozo wa waalimu kwani nchi nzima wanaweza kufundisha uongo. Tangu lini   1+3 = 13, kueni makini aiseee.

Huyo ni Ticha wa shule moja Jijini Dar es salaam, Pande za Tabata.

No comments:

Post a Comment