Saturday, August 4, 2012


AIR TANZANIA YASITISHA MKATABA NA KAMPUNI YA NDEGE YA AERO VISTA YA DUBAI.


Kaimu Mkurugenzi  Mkuu (Ag.DG) wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Ndugu Milton Lazaro atangaza kusitisha mkataba na kampuni ya AERO VISTA ya DUBAI ambayo ililikodishia shirika hilo ndege aina ya Boeing 737-500.


Hii ni baada ya kugundua Shirika halipati faida ng'oo..!!, asema wako kwenye mazungumzo na kampuni nyingine ili kupata ndege inayoweza kuwapatia faida.

No comments:

Post a Comment