Kiukweli huu ni ukatili wa hali ya juu sana, NGO's mnaohusika na haki za binadam kama WLAC , LHRC na nyingine tafadhali lisimamieni hili swala ili tuu watu wenye kuwaadhibu wake/wame/wapenzi wao waweze kujifunza.
_________________________________________________________________
No comments:
Post a Comment