Habari za mtaani:
Hivi ndivyo sakata la Diamond, msanii maarufu nchini Tanzania akiendelea kumkana babake, na babake anasema akae akijua nyota alio nayo kuna siku itazima, haya ni maneno mazito sana.
Blog hii ya jamii, inaendelea kumtafuta Diamond na dada ake Queen D, ili waweze kutupatia ukweli.
No comments:
Post a Comment