WAKATOLIKI DUNIANI KOTE .... NI NGUMU KUAMINI...!!!
HATIMAYE MAZIKO YA MPENDWA PADRI EVARIST GABRIEL MUSHI YAFANYIKA LEO 20/02/2013 HUKO ZANZIBAR.
Mamia ya wananchi, Rais na viongozi mbali mbali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na Tanzania bara na zaidi ya maaskofu 10 wamehudhuria maziko ya Padri Eavarist G. Mushi, aliuawa kinyama kwa kupigwa Risasi siku ya Jumapili tarehe 17/02/2013 akiwa anaenda kuongoza ibada ya misa takatifu siku ya jumapili.
MUNGU AMETWAHA NA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.. Amen.
No comments:
Post a Comment