Dear our customers,
Tunaendelea kuwaletea na kuwatengenezea bidhaa zenye ubora wa kitaifa na kimataifa "FBC - Sharing Happiness", Tafadhali endelea kutumia bidhaa zetu popote utakapozipata Tanzania na ujionee ladha taaaam, na hivi karibuni tutawaletea bidhaa mpya kabisa ndani ya soko.
Asanteni sana - Buy Tanzanian Products.
Merry Christmas & Happy New year 2013.
No comments:
Post a Comment