TANZANIA HATARI SASA.......!! , JESHI LA POLIS LAOGOPWA NA RAIA SASA.
Raia walioliweka Jeshi la Polisi kwenye dhamana ya kulinda Raia na Mali zao, sasa limegeuka na kuwa jeshi la kuuwa raia ambao ndio walipa kodi kwa ajili ya hata wao kupata mishahara. Wampiga mwandishi wa Habari wa kituo cha Channel Ten hadi kusababishia kifo papo hapo..!!

No comments:
Post a Comment