R.I.P BROTHER
Hayati Marehemu - DAUDI MWANGOSI
Tasnia ya Habari yampoteza mpiganaji muhimu sana , ni aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten huko mkoani Iringa, afariki kwa kupigwa bomu, ni baada ya vurugu za polisi na chama cha Chadema.
No comments:
Post a Comment