Sunday, September 30, 2012

EPIC BONGO STAR SEARCH (EBSS): Mshiriki No. 12 - Walter Chilambo avunja rekodi, Salama ampa sifa kibao, Master J akubali ile mbaya, na Chief Jaji, Madame Ritta akubaliana nae sana , Jamaa aliimba wimbo wa Shaggy. Ilipendeza sana. Hayuko pichani.

No comments:

Post a Comment