Tuesday, September 4, 2012


Amaa kweli, Daudi Mwangosi aacha simanzi kubwa sana.

Tulitoka mavumbini na tutarudi mavumbini! Lakini kurudi kwa ndugu yetu Daudi Mwangos inasononesha sana! Huyu ni mmoja wa wanafamilia hajaamini kinachoendelea! imebidi alale juu ya kaburi la mpendwa wao baada ya kuzimia.
 

No comments:

Post a Comment