RAIS JAKAYA MRISHO, ATOA NG'OMBE 500 KWA WANANCHI WA MONDULI.
Rais Jakaya akimkabidhi ng'ombe mmoja kwa wananchi wa Monduli walioathirika na ukame 2008/2009 walipopoteza mifugo yao yote.
Zoezi hili lilifanyika katika kijiji cha makuyuni, wilayani Monduli.
No comments:
Post a Comment