INDIA - MAMA AENDELEA KUISHI CHINI YA DARAJA NA WANAWE WAWILI.
Maisha ndivyo yalivyo, mama huyu ni mjane, na alivunjiwa nyumba yake yapata miezi 9 iliyopita sasa, tangu siku hiyo ameamua kuishi chini ya Daraja na wanawe wawili, Pia watoto hao wote wanasoma, ebu jaribu kutafakari sana.
No comments:
Post a Comment