HATARI...!! MAKANDARASI WA KAMPUNI YA STRABAG DAR WAENDELEA KUKUTANA NA VIKWAZO.
Hapa ni kituo cha Mapipa jijini Dar, wakandarasi wanaotengeneza barabara hii ya mabasi yaendayo kasi, waendelea kukutana na vikwazo baada ya shirika la umeme (TANESCO) kutoondoa nguzo za umeme katika maeneo mbalimbali ambapo upanuzi wa barabara hiyo unafanyika.
No comments:
Post a Comment