AREJEA Dk. Steven Ulimboka, aapa kuendelea na harakati zake
Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini
Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, akiwa amebeba maua, nakuzungukwa na madaktari wenzake na wananchi wa kawaida, alipowasili leo Jumapili Agosti
12, 2012 , kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti
na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.
No comments:
Post a Comment