News (Media Broadcasting Audio & Visual) entertainment , refreshment and food processing.!
Thursday, July 26, 2012
WALIO WENGI: ZITTO ZUBERI KABWE NDO TUMAINI LA VIJANA 96% NA WATANZANIA WOTE BARA NA VISIWANI,TUNAITAJI KIJANA MCHAPAKAZI NA SIO NGONJERA ZA JUKWAANI,MZALENDO WA KWELI NA MUWAJIBIKAJI,KIJANA AMBAE ATAKUWA TAYARI KUISIMAMIA MASLAHI YA NCHI KWANZA,VIJANA TUUNGANE PAMOJA KUPIGANIA KUSHUSHWA KWA UMRI WA URAIS IWE FURSA YETU VIJANA,KIONGOZI MAKINI NI YULE ANAYETANGAZA NIA YAKE MAPEMA ILI TUMPIME NA SIO KUWASHITUKIZA WATANZANIA TUKASHINDWA KUPIMA UWEZO.TUNAITAJI KIONGOZI MWENYE KUJENGA UMOJA WA KITAIFA.MUNGU MBARIKI ZITTO KABWE MUNGU IBARIKI TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment