Wednesday, July 25, 2012








TAARIFA ZILIZOTUFIKIA:
NI KWAMBA NDEGE YA ABIRIA KAMPUNI YA PRECISION AIR IMEPATA AJALI HUKO KIGOMA...TAARIFA ZA AWALI ZINADAI NDEGE HIYO IMEPATA AJALI HIYO KUTOKANA NA KUPASUKA KWA TAIRI MBILI...WAKATI IKITUA KWENYE UWANJA WA NDEGE
BADO HATUJAPATA KAMA KUNAMAJERUHI AU KUPOTEZA MAISHA KWA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE HIYO.
TAARIFA ZAIDI KUFUATA

No comments:

Post a Comment