Prof. Lipumba "CUF".
NASHUKURU KWAMBA HAKUNA MBUNGE HATA MMOJA TOKA CUF ANAYE HUSIKA NA KASHFA ZA RUSHWA BUNGENI, LAKINI HATA KAMA AKIWEPO NA IKATHIBITIKA NAAPA TUTAMFUKUZA UANACHAMA.
NASHANGAA VYAMA VILIVYO TAJWA WABUNGE WAKE KUHUSIKA NA RUSHWA BUNGENI WANASUBIRI NINI KUCHUKUA HATUA, SISI KAMA CUF TUNALAANI VIKALI NA TUNATAKA HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA WOTE WALIO HUSIKA.
Chama cha wananchi cuf kimesema kinashukuru kuwa hakuna hata mbunge mmoja kwa tiketi ya chama hicho anaye anahusika na kashfa ya kupokea rushwa bungeni, Ikumbukwe baadhi ya wabunge toka CCM, CDM-CHADEMA NA NCCR MAGEUZI ni miongoni mwa wabunge wanao tuhumiwa katika sakata zito la usaliti kwa wapiga kura wao pale wanapo pokea rushwa ili kupitisha mambo mbali mbali katika kamati wanazo ziongoza.
HEKO CUF KWA KUWA NA WABUNGE WANAOJALI MASLAHI YA WAPIGA
KURA WENU NA TAIFA KWA UJUMLA
ZAIDI KUTUNZA HESHIMA YA CHAMA CHENU CUF.
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..!!

No comments:
Post a Comment