Hivi ndivyo msanii wa
Uganda Jose Chameleon na umati wa watu wengi walivyokwenda Ubalozi wa Tanzania Uganda, hii ilikuwa ni kudai Passport yake iliyoshikiliwa na Promoter wa wasanii
Tanzania CEO-Erick Shigongo.
Ila nadhani hii sio sahihi kwenda kudai passport kwa nguvu ktk ubalozi huo, huu ni ukosefu tuu wa nidhamu kwa msanii Jose, biashara zako binafsi usiingize ubalozi na Tanzania kwenye matatizo, wahusika kueni makini.
No comments:
Post a Comment