Thursday, February 6, 2014

Taliban wakamata Mbwa wa Marekani.

Kiongozi wa Taliban, Afghanistan,ameonekana akiwa na Mbwa wa jeshi la Marekani waliomkamata mwezi Disemba na kumuweka kama mfungwa wa kivita.

Kwa mfano ungepata kazi kama askari... Je, ungependa kuwa askari wa aina gani?
 
Kwa mfano ungepata kazi kama askari... Je, ungependa kuwa askari wa aina gani?

1. Askari Magereza
2. Askari wa Usalama Barabarani
3. Askari Jeshi
4. __________ (Mwingine, MTAJE)