Thursday, January 23, 2014

Papa:Internet ni zawadi kutoka kwa Mungu.

 Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema kuwa Internet ni zawadi kwa dunia nzima kutoka kwa Mungu lakini ametoa tahadhari!


 
 
PROCUREMENT:
Hiyo ndiyo kazi uliyosomea bro/sister, no kuremba, tena waeza ambiwa utafute lile file Tanganyika ilipopata Uhuru wake mwaka 1961, utajuta... chezeya Procurement weye.


Mambo hayo:
Huyu dogo me sijamsoma vizuri ujue, maana wenzie wote wanamshangaa, Teacher hajui kinachoendelea.



"HATARI"
Viongozi wangu mpo wapi, hivi ndivyo Tembo wetu wanavyofanywa, wizara ya maliasili na utalii, jamani oneni hili suala.


 

ANGALIA: Taswira za Uzinduzi wa Operesheni Pamoja Daima Mkoani Ruvuma.


















Wednesday, January 8, 2014


Hellow Friends, kama kawaida nimerudi tena , endelea kupata habari kem kem kwenye Blog yako ya jamii
HAPPY NEW YEAR...