KIMENUKA:PICHA ZA NUSU UCHI ZA MISS UTALII ZAVUJA MITANDAONI
Wakati maelfu ha waumini wa dini la Kiislam duniani wakiwa ndani ya mfungo mtukufu ,hali imekuwa tofauti kwa aliyekuwa mshiriki wa shindano la kumtafuta Miss Utalii Taifa maarufu kwa jina la Faithiya Madoud ambaye ameamua kupiga picha za uchi kwa makusudi .
Kwa mujibu wa chanzo cha picha, mrembo huyu anadaiwa kujipiga akiwa uchi ili ajiongezee umaarufu ambao alianza kuuonja kupitia filamu zake za "Mrembo wa Facebook" na "nimpende nani
Kwa mujibu wa chanzo cha picha, mrembo huyu anadaiwa kujipiga akiwa uchi ili ajiongezee umaarufu ambao alianza kuuonja kupitia filamu zake za "Mrembo wa Facebook" na "nimpende nani