Friday, January 25, 2013

DUNIANI KUNA UPENDO..! WANYAMA NA BINADAM.

"For the past 6 years, a German shepherd called Capitán has slept next to the grave of his owner every night at 6pm.
His owner, Miguel Guzmán died in 2006. Capitan, the dog, disappeared while the family attended the funeral services. A week later relatives of Guzmán were visiting the cemetery when they were astounded to find the dog next to the owner's grave.
The cemetery director says that the dog comes around each night at 6pm, and has done so for the past 6 years"..!


Thursday, January 24, 2013

DUNIANI..!!!
WANAUME WAPENZI WA JINSIA MOJA WAKIVALIA VIATU VYA KIKE KATIKA TAMASHA MOJA NCHINI UHISPANIA MWAKA 2005..KWA HIVYO WAPO WANAUME WANAOVAA VIATU VYA KISIGINO


Monday, January 21, 2013

UBUNGO BUS BUS TERMINAL.
Jijini Dar es salaam.

Hasara kubwa
Leo 21/01/2013 asubuhu, zaidi ya magari 24 yameangukiwa na ukuta na kuharibika vibaya sana.




Sunday, January 20, 2013

WAPENDWA WATEJA WETU, MPAKA SASA TUNATENGENEZA AINA 5 ZITOKANAZO NA NGANO.

Tafadhali ulapo bidhaa zetu ni sawa na kutuunga mkono asilimia 100, karibu na endelea kutumia bidhaa bora za kitanzania.
un sliced Bread / barges 


Sugar Free

Loaf

Loaf sugar Free

Thursday, January 10, 2013

HATARIII...!!

Hapo hakuna haja ya kununua gari, familia yote piki piki moja tu inatosha. Haya 2013 twende zetu...

Tuesday, January 8, 2013

DRC - KONGO.
Kiongozi wa KUNDI LA WAASI la M23, Askofu Jean-Marie Runiga akishuka kwenye gari ili kuzungumza na vyombo vya habari mjini Goma, DRC, November 27, 2012. 


Tuesday, January 1, 2013